π’π»πΉUnataka kuongeza mavuno ya alizeti?π―π₯πΉ
Teknolojia ya kisasa imeleta mabadiliko makubwa kwenye kilimo cha alizeti. Fuata mbinu hizi ili upate mavuno bora na faida kubwa:
β Chagua mbegu bora β Tumia mbegu zenye mavuno makubwa kama Record, High Sun au PAN 7033.
β Tumia teknolojia ya ramani za shamba (GPS) β Inasaidia kupanga upandaji kwa nafasi sahihi π.
β Kilimo cha umwagiliaji wa kisasa β Drip irrigation inahakikisha mimea inapata maji ya kutosha π§.
β Matumizi ya sensor za udongo β Zinaweza kukupa taarifa za rutuba na unyevu wa udongo kwa wakati halisi π‘.
β Kutumia drones kupulizia mbolea na dawa β Inasaidia kupunguza gharama na kuongeza ufanisi π.
β Masoko ya kidigitali β Tafuta wanunuzi kupitia apps za kilimo kama Mkulima Hub au Agri Marketplace pia kupitia hapa hapa katika blog yako hii pendwa ya..
Kilimo na Teknolojiaπ±.
https://kilimonateknolojia.blogspot.com
Tunapokea Matangazo Buree..!!π―
π Kilimo na Teknolojia ni Mkombozi wa Mkulima wa Kisasa! πͺπΏ
π π»π’ Kilimo Chenye Faida Kinaanza na Maarifa Sahihi!π»