πΏπ’π Uliza chochote kuhusu: π’πΏ
✅ Mbolea na Udhibiti wa Magonjwa
✅ Uzalishaji wa Mazao Bora
✅ Ufugaji na kilimo Mseto
✅ Masoko na Bei za Mazao
πTumia fursa hii kupata maarifa sahihi kwa mafanikio yako kwenye kilimo! π±π
π Karibu kwa maswali yako sasa!... ✍️
Kwa faida ya wanakikundi wote, tafadhali tumia comment section hapo chini π.. ya hii post.