🟢 Hapana, mbegu za chotara (Hybrid) hazifai kupandwa tena msimu unaofuata kwa sababu:
✅ Kupungua kwa mavuno – Hazihifadhi ubora wa awali, hivyo mavuno hupungua sana.
✅ Kudhoofika kwa sifa zake – Zinapopandwa tena, zinaweza kupoteza ustahimilivu wake wa magonjwa na ukame.
✅
Mabadiliko ya maumbile (Genetic Segregation).
# – Mazao hayatafanana na
mbegu ya mwanzo, yanaweza kuwa dhaifu au kutoa mazao yasiyo bora.
🔹 USHAURI: Ni muhimu kununua mbegu mpya za Hybrid kila msimu ili kuhakikisha mavuno mengi na ubora wa mazao.
📚 UNATAKA KUPATA MAFUNZO YA KILIMO CHA KISASA? 📚
🌍 Karibu darasani ujifunze:
✅ Jinsi ya kuchagua mbegu bora za biashara 🌱
✅ Matumizi sahihi ya mbolea na viuatilifu 📊
✅ Njia bora za kuongeza mavuno kwa kilimo cha kitaalamu 🚜
✅ Masoko ya mazao yako ili upate faida kubwa 💰
💬Kama unataka kujiunga, Tuandikie.. 💬👇📩 ..Karibu tujifunze!🎯