Wakulima wanaweza kupanda mimea ya dawa ili kutibu magonjwa ya binadamu na mifugo, na pia kuuza kwa faida.
Hapa ni baadhi ya mimea inayotumika sana:
Moringa (Mlonge) 🌱
✅ Husaidia kuongeza kinga ya mwili
✅ Inatibu shinikizo la damu na kisukari
✅ Majani na mbegu zake hutumika kama lishe
Aloe Vera (Mshubiri) 🌿
✅ Hutibu vidonda, magonjwa ya ngozi na tumbo
✅ Hutumika kutengeneza vipodozi na dawa za asili
Neem (Mwarobaini) 🌳
✅ Hutibu malaria, vidonda vya tumbo, na magonjwa ya ngozi
✅ Majani na magome yake hutumika kama dawa ya kuua wadudu shambani
Tangawizi (Ginger) 🏵️
✅ Inasaidia kutibu mafua, kikohozi na matatizo ya mmeng’enyo
✅ Hutumika kutengeneza chai ya dawa
Mdalasini (Cardamon)🌿
✅ Inasaidia kupunguza sukari kwenye damu
✅ Hutibu matatizo ya hedhi na uvimbe mwilini
Giligilani (Coriander) 🌱
✅ Husaidia kupunguza gesi tumboni na kuimarisha mmeng’enyo
✅ Hutumika kama kiungo cha chakula chenye faida kiafya
🚜 Wakulima wanashauriwa kupanda mimea hii kwa matumizi ya nyumbani na biashara.
📖 Vitabu vya mafunzo na darasa vinapatikana! Tuma Inbox au comment 📩 kwa maelezo zaidi! ✅