Admin shukrani kwa elimu nzuri unayoitoa.
Samahani, kuhusu kilimo cha pilipili,
Je, kuna soko Arusha?
Na mtu alime kiasi gani ili auze popote liliko soko?
Je.. Pilipili Mbuzi ndiyo pilipili mwendokasi?
Kwa mwenye majibu tujadili katika kipengele cha comment hapo chini.
Karibuni Tujumuike Pamoja
ReplyDeleteUrakoza chane
Delete