Pages

Tuesday, 14 January 2025

KILIMO na TEKNOLOJIA

 🤚HABARI NJEMAAA💭 🍀 KAKONKO🍀 >>>>>>> Tunapenda kuwaalika wataalamu wote wa TEHAMA Wilaya ya Kakonko na Mikoa ya jirani kujiunga na group la KILIMO NA TEKNOLOJIA.

        Lengo la group hili ni kuandaa Team Ya wataalamu wa TEHEMA Wilaya Ya Kakonko ili tuweze kujadili mambo mbali mbali kuhusu Kilimo cha Kidigitali katika Wilaya Yetu na kuongeza uchumi na kipato kwa ujumla. 

                                   Mawasiliano zaidi yatafata..

No comments:

Post a Comment